1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.07.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S21 Julai 2017

Mahakama ya rufani nchini Kenya jana ilitengua uamuzi wa Mahakama kuu uliozuia kampuni ya Al Ghurair ya Dubai kuchapisha karatasi za kupigia kura za urais// Serikali ya Kenya kutangaza uwezekano wa kuifunga mitandao ya kijamii iwapo usambazaji wa ujumbe wa chuki utaendelea kukithiri kwenye maeneo hayo hasa wakati Kenya inapoelekea uchaguzi mkuu// Serikali ya Ujerumani inaichukulia hatua Uturuki.

https://p.dw.com/p/2gvPp