1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.06.2018 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S21 Juni 2018

Tanzania imepitisha aina mbili za mbegu za maharage zilizoongezewa madini ya chuma na zinki ili kukabiliana na tatizo la utapiamlo mkali, udumavu pamoja na tatizo la upungufu wa damu, tatizo ambalo linatajwa kuongezeka kwa kasi zaidi hasa kwa wanawake na watoto chini ya miaka mitano.

https://p.dw.com/p/2zzwq