1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.04.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S21 Aprili 2017

Baada ya mtu aliyebebea silaha jana usiku kumuua polisi mmoja kwa risasi na kuwajeruhi wengine wawili jijini Paris, Ufaransa, wanasiasa mbalimbali wametoa kauli kuhusu shambulio hilo// Waziri wa ulinzi wa Marekani Jim Mattis akiwa ziarani nchini Israel amesema "hakuna shaka yoyote" kwamba serikali ya Bashar al Assad wa Syria inamiliki silaha za kemikali.

https://p.dw.com/p/2bi2h