1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.04.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S21 Aprili 2017

Emmanuel Macron mgombea wa urais nchini Ufaransa ni mwanasiasa wa sera za wastani na anagombania uchaguzi huo wa rais uliopangwa kufanyika Jumapili ya tarehe 23 April katika duru ya kwanza// Wakulima katika eneo la bonde la ufa, nchini Kenya wamekumbwa na hofu kutokana na uvamizi wa wadudu aina ya viwavijeshi wanaoripotiwa kusababisha uharibifu wa hali ya juu kwa mimea yao.

https://p.dw.com/p/2bexT