1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.03.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S21 Machi 2017

Pande zinazozana Syria zimekubali kushiriki katika duru mpya ya mazungumzo ya kutafuta amani yatakayofanyika mjini Geneva Alhamisi wiki hii// Mvutano kati ya Uturuki na Ujerumani unazidi makali// Leo ni siku ya kimataifa ya kupinga ubaguzi duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu 2017 ni vitendo vya ubaguzi wa rangi na uchochezi wa chuki katika muktadha wa uhamiaji.

https://p.dw.com/p/2ZftH