1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.02.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S21 Februari 2017

Vikosi vya Iraq vinaendelea kuyateka maeneo ya kusini mwa Mosul// Mazungumzo ya amani ya Syria yanayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa yanatarajiwa kuanza siku ya Alhamis mjini Geneva// Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, Freeman Mbowe leo hii aliwasilisha mashauri mawili katika Mahakama Kuu ya nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/2Y03h