1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.12.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S20 Desemba 2017

Umasikini na tofauti za viwango vya vipato kati ya walionacho na wasionacho nchini Marekani vinaashiria kufikia katika hali mbaya zaidi katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Donald Trump// Juhudi za kuwaondoa watoto katika nyumba za mayatima na kuwajengea mazingira mazuri zaidi zimeongezeka duniani kote.

https://p.dw.com/p/2pgHC