1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.12.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S20 Desemba 2016

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema anachukuliwa tukio la lori kuparamiya soko la Krismas mjini Berlin na kuuwa watu 12 kuwa la kigaidi// Kumeibuka vurugu hii leo katika mji wa Lubumbashi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo// Urusi,Uturuki na Iran zinakusudia kuimarisha juhudi za pamoja katika kupambana na ugaidi pia kutafuta suluhisho la kiasisa la machafuko nchini Syria.

https://p.dw.com/p/2Uc7b