1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.10.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S20 Oktoba 2016

US- Donald Trump na Hillary Clinton wakutana tena kwa mara ya tatu na ya mwisho katika mdahalo wa televisheni huko Las Vegas// Vikosi vya Iraq vinasonga mbele kwa kasi kuliko ilivyotegemewa// Leo imetimia miaka mitano tangu kuuwawa kwa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi magharibi mwa mji wa Sirte// Tanzania- kiasi cha watu 3,167 hupoteza maisha kila mwaka kutokana na ulaji wa vyakula vyenye sumu.

https://p.dw.com/p/2RU3g