1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.07.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S20 Julai 2017

Utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump umeamua kusitisha programu ya Idara ya Upelelezi ya Marekani CIA ya kutoa mafunzo kwa makundi ya waasi wanaopambana na serikali ya Rais wa Syria Bashar al-Assad// Wapinzani wa Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ambaye umaarufu wake umepungua wametoa wito wa mgomo wa kitaifa leo hii Alhamisi.

https://p.dw.com/p/2grsh