Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya-NASA, umepata pigo kwenye safari yake ya kuelekea ikulu// Ujumbe wa Umoja wa Afrika umekutana na rais Uhuru Kenyatta wa kenya zikiwa zimesalia siku 18 kabla uchaguzi mkuu kufanyika// Tume ya taifa ya uchaguzi nchini Rwanda imetangaza orodha rasmi ya wapiga kura milioni 6.8 watakaopiga kura kwenye uchaguzi wa Rais utakaofanyika nchini humo mwezi ujao wa nane.