1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.06.2018 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S20 Juni 2018

Siku ya wakimbizi duniani/ Katika nchi nyingi zaidi za Umoja wa Ulaya makundi ya siasa kali za mrengo wa kulia yanavuna matunda ya matatizo ya uhamiaji ambayo hayajapatiwa majibu. Hali inaelekea kwamba kila nchi itachukua hatua yake binafsi/ Uturuki kabla ya uchaguzi/ Bujumbura: Mkutano wa kilele unaoangazia maswala ya usalama wa lishe na maendeleo katika nchi za Afrika

https://p.dw.com/p/2ztAE