1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.05.2017 Matangazo ya Asubuhi

20 Mei 2017

Wairan walipiga kura katika uchaguzi wa rais hapo jana, uchaguzi ambao ulikuwa na ushindani mkali kati ya mwanasiasa mwenye msimamo wa wastani Hassan Rouhani na mhafidhina mwenye msimamo mkali Ebrahim Raisi.

https://p.dw.com/p/2dHDJ
Iran Präsidentschaftswahlen 2017
Picha: Getty Images/M. Saeedi