Balozi wa Uingereza katika Umoja wa Mataifa amesema Urusi na Syria zinapaswa kuzingatia ahadi waliyotoa ya kuwaruhusu wachunguzi wa silaha za kemikali kulitembelea eneo la Douma// Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amelifanyia marekebisho Baraza lake la mawaziri.