1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.12.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S19 Desemba 2017

Makamu wa rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amechaguliwa kuwa rais wa chama tawala cha African National Congress ANC// Rais wa Marekani, Donald Trump ametumia uzinduzi wa mkakati wake wa kwanza wa Usalama wa Taifa kuzisifu faida za ushirikiano wa nchi yake na Urusi// Ujerumani hii leo inakumbuka mwaka moja kamili tangu kufanyika kwa shambulizi la lori katika soko la Krismasi mjini Berlin.

https://p.dw.com/p/2pctG