Rais wa Urusi Vladmir Putin atakabiliana na shinikizo la mataifa ya Magahribi kuhusiana na migogoro ya Ukraine na Syria, katika mazungumzo yanayoandaliwa hii leo mjini Berlin// Jiji la Kinshasa limeamka katika hali ya ubaridi kufuatia mgomo ulioitishwa na vyama vikuu vya upinzani// Taarifa kutoka Ethiopia zinasema watu wapatao 1,000 wametiwa nguvuni na vyombo vya dola mwezi huu.