1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.10.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S19 Oktoba 2016

Wadau wa habari nchini Tanzania wameanza rasmi kuujadili Mswaada wa Huduma ya Habari uliowasilishwa kwenye Kamati ya Bunge na serikali// Mgombea urais wa chama cha Democratic Hillary Clinton na wa Republican Donald Trump leo wanakutana katika mdahalo wa mwisho wa wagombea urais nchini Marekani.

https://p.dw.com/p/2RRNz