1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.05.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S19 Mei 2017

Vituo vya kupigia kura tayari vimeshafunguliwa nchini Iran na raia wa nchi hiyo leo wanachagua rais wao mpya// Rais wa Marekani Donald Trump anasafiri kuelekea Ghuba katika ziara yake ya kwanza kabisa ya nje ya nchi tangu achukue hatamu za uongozi// Uongozi wa jeshi la Marekani barani Afrika AFRICOM unaendeleza uwepo wake barani humo ili kushughulikia wasiwasi wa kiusalama.

https://p.dw.com/p/2dEIW