1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.04.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S19 Aprili 2017

Bunge la Uingereza limepitisha kwa kura 522 dhidi ya 13 kuunga mkono mipango ya Waziri Mkuu May ya kuandaa uchaguzi mkuu wa mapema // Huko Uturuki chama kikubwa cha wapinzani cha Republican People's party kinafikiria kujitoa bungeni katika harakati za kupinga matokeo ya Jumapili ya kura ya maoni// Zoezi la kuwahamisha wakaazi wa maeneo yanayozingirwa nchini Syria limeanza upya leo.

https://p.dw.com/p/2bXwY