1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.04.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S19 Aprili 2017

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amejijengea sifa ya kuwa mtendaji asiye na mzaha anayetaka kuiongoza nchi hiyo kupita katika moja ya wakati wenye mawimbi makubwa kabisa katika historia ya nchi hiyo// Mgombea urais nchini Ufaransa Marine Le Pen alifurahi sana pale rais wa Marekani Donald Trump alipopata ushindi katika uchaguzi wa urais wa Marekani.

https://p.dw.com/p/2bTlL