Miongoni mwa taarifa: Shambulio la mripuko wa bomu la kujitoa muhanga mjini Istanbul lauwa watu watano na kujeruhi 36// Mwandishi wa magazeti ya Mwananchi Communications na mwakilishi wa DW visiwani Zanzibar, Salma Said, aliyekamatwa na watu wasiojulikana, bado hajulikani alipo