1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.12.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S18 Desemba 2017

Nchini Uganda kamati ya bunge juu ya masuala ya sheria na mambo ya kibunge inatarajiwa kuwassilisha mswaada wa kuondosha ukomo wa umri kwa mgombea urais katika katiba ya nchi hiyo// Maelfu ya wajumbe wa chama tawala cha Afrika Kusini, African National Congress, ANC, wameendelea na upigaji kura ya siri.

https://p.dw.com/p/2pYnb