1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.11.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S18 Novemba 2016

Viongozi wa Ulaya wako Berlin leo hii kutaka kuhakikishiwa na Rais Barack Obama wa Marekani juu ya mkondo ambao yumkini ukafuatwa na rais mteule wa Marekani Donald Trump kutokana na ahadi zake za sera kali za mrengo wa kulia kuweza kutibuwa mfumo wa dunia//Maoni mengi yametolewa baada ya Joseph Kabila kumteuwa Samy Badibanga kutoka chama cha upinzani cha UDPS, kuwa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/2St7s