1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.11.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S18 Novemba 2016

Rais Barack Obama wa Marekani na viongozi wa Ulaya leo wamesisitiza umuhimu wa kushirikiana katika Jumuiya Kujihami ya NATO// Msemaji wa kundi la mataifa 45 miongoni mwao yale yanayokabiliwa na hatari ya mabadiliko ya tabia nchi yamesema kuwa yataanza mara moja kutumia nishati mbadala// Serikali ya Msumbiji imesema inaitisha kikao cha dharura leo hii kufuatia kuripuka gari la kusafirishia mafuta.

https://p.dw.com/p/2SuqV