1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.10.2016 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S09S18 Oktoba 2016

Leo hii vyama vinavyounda muungano tawala Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na vyama vyengine vidogo ambavyo vilikubaliana kuchelewesha uchaguzi wa mwezi ujao hadi Aprili mwaka 2018 vinatarajiwa kutia saini makubaliano hayo // Wakulima nchini Kenya wanapambana na hali ya ukame hatua ambayo imeongeza mahitaji ya mbegu zinazohimili jua kali la kiangazi.

https://p.dw.com/p/2RMLd