Maafisa wa polisi nchini Uhispania wamesema kuwa bado hawajamtambua mshukiwa wa shambulizi la kigaidi// Wanasiasa wa upinzani wa muungano wa NASA nchini Kenya wanawasilisha malalamiko rasmi ya kuupinga ushindi wa Uhuru Kenyatta baada ya uchaguzi mkuu wa rais uliofanyika wiki iliyopita// Rais Paul Kagame wa Rwanda ameapishwa hii leo.