1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.04.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S18 Aprili 2017

Waangalizi wa Baraza la Ulaya katika kura ya maoni iliyopigwa Jumapili nchini Uturuki wamesema yumkini kura zipatazo milioni 2.5 zilichakachuliwa. // Zimesalia siku sita kabla ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais kuitishwa nchini Ufaransa// Chifu mpya wa jadi anatarajiwa kuapishwa hii leo kwenye jimbo la Kassai-Central ikiwa ni juhudi za serikali kutaka kurejesha utulivu kwenye eneo hilo.

https://p.dw.com/p/2bO6n