1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.02.2018: Matangazo ya Mchana

18 Februari 2018

Miongoni mwa yaliyomo kwenye matangazo haya ni mamia waupokea mwili wa aliyekuwa kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai na Rais wa Marekani Donald Trump aigeukia FBI kwa kushindwa kuzuia shambulizi la shule katika jimbo la Florida.

https://p.dw.com/p/2stD7