1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.11.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S17 Novemba 2017

Tunaanzia nchini Zimbabwe ambapo panasubiriwa hatima ya hali iliyozuka baada ya jeshi kutangaza kuwa linadhibiti madaraka na kumuweka Rais Robert Mugabe, mkewe Grace na mawaziri kadhaa katika kizuizi cha nyumbani// Viongozi wa Afrika wametaka vikosi vya kulinda amani vilivyopo katika bara hilo, kufanya mabadiliko katika namna vinavyotoa huduma zao.

https://p.dw.com/p/2nmnS