1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.11.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S17 Novemba 2016

Rais wa Marekani Barack Obama amemsifu kansela wa Ujerumani Angela Merkel, kama nembo ya uaminifu kwa Ujerumani// Rais Joseph Kabila amemteua kiongozi wa upinzani bungeni Samy Badibanga kuwa Waziri mkuu mpya wa Congo// Waziri Mkuu wa Ufaransa Manuel Walls amesema leo hii kiongozi wa sera kali za mrengo wa kulia Marine Le Pen ana fursa ya kushinda uchaguzi wa rais.

https://p.dw.com/p/2Sr19