1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.10.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S17 Oktoba 2016

Vikosi vya usalama vya Iraq vikiungwa mkono na majeshi ya Marekani vimefanya mashambulizi kaskazini ya mji wa Mosul// Leo ni siku ya kimatafaifa ya kupambana na umasikini// Wasiwasi umekuwepo iwapo serikali ya Tanzania itaendelea na mpango uchimbaji wa madini ya Urani katika eneo la Bahi.

https://p.dw.com/p/2RLFc