Israel imejitetea leo mbele ya mahakama ya kimataifa ya haki ICJ kuhusu hatua ya vikosi vyake vya jeshi kuendelea na operesheni yake katika Ukanda wa Gaza+++Familia kadhaa kutoka nchini Tanzania, zipo mjini Berlin kwa ajili ya kufuatilia mafuvu ya mababu zao ambao walinyongwa katika zama za ukoloni wa Ujerumani kwa iliyokuwa Tanganyika, sasa Tanzania Bara