Rais Donald Trump binafsi alimtaka mkurugenzi wa zamani wa shirika la FBI nchini Marekani James Comey kuachana na uchunguzi kuhusiana na mshauri wa usalama wa taifa Michael Flynn// Rais Donald Trump wa Marekani na mwenzake Recep Tayyip Erdogan walisimama bega kwa bega katika Ikulu ya marekani White House jana Jumanne.