Wachunguzi wa kimataifa wameingia leo katika mji wa Douma nchini Syria ulioshambiuiwa na kile kinachodaiwa kuwa ni silaha za sumu// Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akihutubia katika bunge la Ulaya mjini Strasbourg ametahadharisha hii leo dhidi ya "mbinu za kimabavu" barani Ulaya na kutoa wito badala yake wa "kuuhami kwa dhati uhuru na mamlaka" barani Ulaya.