Januari 20 mwaka huu Rais wa Marekani, Donald Trump atafikisha mwaka mmoja tangu alipoingia madarakani// Shirika lisilo la kiserikali la Haki Elimu huko nchini Tanzania limetoa tathmini kuhusu juhudi zinazofanyika katika suala la elimu ya mtoto wa kike// Bara la Afrika linakabiliwa na changamoto kubwa ya magonjwa lakini sasa kuna changamoto kubwa zaidi ya kutibu magonjwa hayo.