Siku ya Jumamosi Rais wa Marekani, Donald Trump atafikisha mwaka mmoja tangu alipoingia madarakani Januari 20, 2017// Kamati ya kiserikali kuhusu mabadiliko ya tabia nchini(IPCC) imeripotiwa kukiri kuwa mpango wa kupunguza ongezeko la jotodunia hadi chini ya nyuzi joto 1.5 hauna uhalisia tena.