1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.12.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S16 Desemba 2016

Maelfu ya raia na wapiganaji waasi waliendelea kuhamishwa usiku kucha kutoka mji wa Aleppo nchini Syria // Viongozi wa mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya hapo jana walikubaliana kuhusu mpango wa mazungumzo kuhusiana na hatua ya Uingereza ya kutaka kujitoa katika Umoja huo// Marekani itachukua hatua dhidi ya Urusi kufuatia madai ya nchi hiyo kudukua masuala ya uchaguzi ya Marekani.

https://p.dw.com/p/2UNZj