1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.12.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S16 Desemba 2016

Maafisa wanaosimamia zoezi la kuwahamisha raia na wapiganaji kutoka Mashariki mwa mji wa Aleppo wameliambia shirika la habari la Reuters leo hii kwamba zoezi hilo bado halijakamilika// Mkurugenzi na mwanzilishi wa mtandao wa kijamii wa JamiiForums wa Tanzania Maxence Melo, leo hii alifikishwa katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam kwa makosa matatu.

https://p.dw.com/p/2UQXD