Raia nchini Zimbabwe leo hii wameanza kuangazia mustakabali wa taifa hilo bila ya kiongozi wao aliyekaa madarakani kwa takriban miongo minne// Nchini Ujerumani,vyama vya CDU, CSU, FDP na kile cha Kijana Die Grüne leo wamo katika hatua ya mwisho ya kutafuta msimamo wa pamoja kuhusu kuunda serikali ya muungano.