1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.11.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S16 Novemba 2016

Barack Obama anaendelea na ziara yake ya mwisho barani Ulaya kabla ya kuondoka madarakani, na hii leo anazuru Ujerumani// Rais Mteule Donald Trump ameipanguwa tena timu yake ya mpito hapo jana// Kule mjini The Hague Uholanzi, mkutano wa nchi zilizotia saini mkataba wa Roma unaounda Mahakama ya Kimataifa ya Jinai – ICC unaanza leo.

https://p.dw.com/p/2SliZ