1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.09.2015 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S16 Septemba 2015

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Merkel bado anataka viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya wakutane ili kuujadili mgogoro wa wakimbizi// Wakimbizi wapatao 5000 wameingia nchini Ugiriki katika muda wa saa 24 zilizopita// Waziri mkuu wa Israel jumatatu ijayo anatarajia kukutana na Rais wa Urusi mjini Moscow kwa ajili ya mazungumzo yatakayohusu Urusi kujiimarisha kijeshi nchini Syria

https://p.dw.com/p/1GXXM