1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.08.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S16 Agosti 2017

Kenya: Raila kupinga matokeo ya uchaguzi mahakamani/ Trump wa Marekani amesababisha wimbi jengine la lawama za walimwengu aliposema kwa mara nyengine tena wanaobeba dhamana ya matumizi ya nguvu yaliyoutikisa mji wa Charlottesville wanakutikana pande zote mbili/ Kiongozi wa upinzani Zambia Hichilema aachiliwa huru/ ICC yatoa agizo la kukamatwa kamanda mmoja wa Libya

https://p.dw.com/p/2iMlr