1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.06.2017 Matangazo ya Mchana

Josephat Charo16 Juni 2017

Jeshi la Urusi lasema huenda limemuua kiongozi mkuu wa kundi linalojiita dola la Kiislamu pamoja na makamanda wake 30 Syria. Rais RaisTrump kutangaza sera yake kuelekea Cuba. Na waziri mkuu wa Uingereza Theresa May azidi kukabiliwa na shinikizo.

https://p.dw.com/p/2eo6F