1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.06.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S16 Juni 2017

Urusi bado haijathibitisha juu ya kuuwawa kwa Al Baghdadi nchini Syria. Kiasi watu 30 wathibitishwa kufariki katika mkasa wa moto magharibi ya London. Na kansela Angela Merkel asema litakuwa kosa kubwa ikiwa Marekani itahusisha vikwazo dhidi ya Urusi na juhudi za kuunga mkono maslahi ya uchumi wa Marekani.

https://p.dw.com/p/2eq6W