1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.06.2016 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S09S16 Juni 2016

Mamia ya raia wa Afrika Kusini, walijumuika pamoja kuadhimisha miaka 40 baada ya machafuko yaliyotokea kwenye kitongoji cha Soweto// Tanzania inatarajia kuanza zoezi la kuzima simu bandia, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa sheria ya mawasiliano ya kielektroniki na posta ya mwaka 2010.

https://p.dw.com/p/1J7Nq