1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.05.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S16 Mei 2018

Korea Kaskazi leo hii imetishia kuufuta mkutano unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao kati ya kiongozi wa taifa hilo, Kim Jong Un na Rais wa Marekani Donald Trump ikisema haina maslahi katika mahusiano ya kutegemea matakwa ya upande mmoja

https://p.dw.com/p/2xohG