1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.05.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S16 Mei 2017

Rais mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron na kansela wa Ujerumani Angela Merkel waliahidi kutoa msukumo mpya kwa Ulaya// Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa jana limeishutumu vikali Korea kaskazini kwa jaribio la hivi karibuni la makombora// Ujerumani inaweza kuhamisha wanajeshi wake walioko nchini Uturuki kwenda katika nchi nyingine

https://p.dw.com/p/2d3EP