Mhafidhina anaefuata siasa za kiliberali, waziri mkuu Mark Rutte anaonyesha kuibuka na ushindi dhidi ya mpizani wake, anaepalilia chuki dhidi ya waislam na dhidi ya Umoja wa Ulaya Geert Wildert// Nchini Tanzania Jeshi la polisi linamshikilia Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kwa madai ya kukiuka masharti ya dhamana ya polisi.