Ahmad Ahmad wa Madagascar amechaguliwa leo kuwa rais wa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) kwa kumng'oa kiongozi mkongwe Issa Hayatou baada ya kuwa madarakani kwa miaka 29// Watu watatu wametiwa mbaroni kuhusiana na ghasia zilizozuka upya katika kaunti ya Baringo eneo la Bonde la Ufa nchini Kenya.