1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.02.2018 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S16 Februari 2018

Kiasi ya watu 300 wanaofanya kazi katika kampuni binafisi ya ulinzi yenye mafungamano na ikulu ya Urusi Kremlin ama waliuawa au kujeruhiwa nchini Syria wiki iliyopita// Nchini Ethiopia hapo jana Waziri Mkuu Hailemariam Desalegn alitangaza uamuzi wa ghafla na wa kushangaza wa kujiuzulu// Marekani imeionya Tanzania kutokana na kisa cha mauwaji yenye kuhusishwa na vurugu za kisiasa.

https://p.dw.com/p/2sng3